×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

WAZIRI MKUU KUFUNGA MKUTANO WA ACI AFRIKA

Na Mwandishi wetu.

Wazari Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajiwa kufunga mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la viwanja vya ndege kwa Kanda ya Afrika ( ACI AFRIKA) unaofanyika Jijini Arusha kwenye hoteli ya Mount Meru.

Akiwasili Jijini Arusha leo Aprili 28. 2025, Majaliwa amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda pamoja na viongozi wengine wa Serikali na Chama.

#NTTupdates.