×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

WAZIRI MKUU AWASILI ZANZIBAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Zanzibar Novemba 25, 2023 ambako kesho anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi katika Mbio za  Hisani za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia ( ‘Stop GBV Marathon) zitakazofanyika Mji Mkongwe Zanzibar.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

#NTTUPdates