Na Mwandishi wetu.
Timu ya Taifa ya Uruguay imetoa kichapo kizito kwa Bolivia cha jumla ya magoli 5-0, huku wakiingia kwenye rekodi ya kuwa taifa la pili kupokea kichapo hicho baada ya Argentina ambao walifunga goli 5 mwaka 1959.
Mchezo huo ambao kocha wa Uruguay Marcelo Bielsa alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi hicho na kufanya wapate ushindi huo mnono.
Uruguay imetinga hatua ya mtoano baada ya kufikisha alama 6 kwenye Kundi C.Magoli ya Uruguay yalifungwa na1.
Facundo Pellistri dakika ya 82. Darwin Nunez dakika ya 213. Maximiliano Araujo dakika ya 774. Federico Valvede dakika ya 815. Rodrigo Bentancur dakika ya 89.
#NTTupdates