×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

TAMMY ABRAHAM ATIMKIA UTURUKI

Na Mwandishi wetu.

Klabu ya AS Roma ya Italia imethibitisha kumpeleka kwa mkopo mshambuliaji wa Kevin Oghenetega Tamaraebi Bukumo Abraham (27) akijulikana kama Tammy Abraham raia wa Uingereza kwenye klabu ya Besiktas inayoshiriki ligi kuu ya Uturuki.

Abraham ambaye msimu uliopita alikuwa akiwatumikia AC Milan kwa mkopo hakuwa na muendelezo mzuri kwenye klabu hiyo licha ya kupata nafasi ya kucheza michezo 28, akifunga magoli 3 na kutoa assist 4 pekee msimu mzima.

#📷 Besiktas

#NTTupdates