Na Mwandishi wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Shukrani kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Vyama vyaWafanyakazi (TUCTA) Tumaini Nyamhokya kwa niaba yawafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku wa WafanyakaziDuniani (Mei Mosi) Kitaifa sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025.
#NTTUpdates