Na Mwandishi wetu.
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshawasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center na kutembelea mabanda ya maonyesho ya Kilimo.
Na hapo baadae anatarajiwa kuzungumza na Wananchi waliopo katika ukumbi huo wa JKCC jijini Dodoma.
#NTTUpdates