×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA

Na Mwandishi wetu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti ya picha alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato wakati wa ziara yake Mkoani humo leo Juni 14,2025.

#NTTUpdates