×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

RAIS MWINYI ALIVYOWASILI KWENYE KONGAMANO LEO

Na Mwandishi wetu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewasili katika Uwanja wa New Amaan Complex kuhudhuria Kongamano la Kimataifa la ‘Light Upon Light.

‘Kongamano hilo limehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini, pamoja na watoa mada mashuhuri akiwemo Mufti Menk kutoka Uingereza, Sheikh Muhammad Saleh, Sheikh Wael Ibrahim, na Sheikh Ali Hammuda.

#NTTUpdates