Na Mwandishi wetu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa(NDC), Balozi Meja Jenerali Wilbert Ibuge na ujumbe wa Wakufunzi waandamizi elekezi pamoja na Wanafunzi 61 wa Chuo hicho kutoka Mataifa 17 mbalimbali ikiwemo Tanzania na Watumishi Waandamizi wa Serikali waliofika Ikulu Zanzibar tarehe 28 Aprili , 2025.
#NTTUpdates