×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

RAIS DKT SAMIA : AIPONGEZA YANGA KWA UBINGWA

Na Mwandishi wetu.

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa timu ya yanga Afrika kufuatia ushidi walioupata dhidi ya watani wao Simba Sports Club.

Kupitia ukurasa wake Rasmi Rais amesema kuwa “Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ikiwa ni ubingwa wa nne mfululizo.

Kwa zaidi ya miaka 85, upinzani wa Yanga na Simba umeendelea kuwa burudani kwa mamilioni ya mashabiki ndani na nje ya nchi. Endeleeni kutupa burudani.”

#NTTUpdates