
Na Mwandishi wetu.
KLABU ya Simba SC imemtangaza kinda mshambuliaji Valentino Mashaka (18) kuwa mshambuliaji mpya wa Klabu hiyo.
Mashaka anajiunga na Simba SC akitokea Geita Gold ambapo amesaini mkataba wa miaka 2 kuwatumikia wekundu wa msimbazi.Msimu uliopita.
Valentino Mashaka amefunga magoli 6 na kutoa assist moja.


#NTTupdates