Na Mwandishi wetu.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam na kushuhudia Kariakoo derby kati ya Young Africans SC dhidi ya Simba SC zikitoshana nguvu yabila kufungana katika mchezo wa Ngao ya Jamii.
Licha ya Simba SC kufanya mashambulizi ya hatari kupitia kwa washambuliaji wake Kibu Denis na Dese Mukwala wameshindwa kutamba mbele ya goli kipa wa Young Africans SC Diarra.
#Ngao ya Jamii
#NTTupdates