×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MALAIKA MEENA KUITUMIKIA TWIGA STARS KWA MARA YA KWANZA

Na Mwandishi wetu.

KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Wake Forest Malaika Meena, amepata fursa ya kuitwa kwa mara ya kwanza timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars kujiunga na kikosi hicho.

Malaika ameongezwa kwenye kikosi hicho kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Tunisia na Botswana.

Malaika atapata fursa ya kuchezaTwiga stars kwa mara ya kwanza na huenda akajumuishwa jumla kwenye kikosi hicho.

#NTTupdates