×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MABASI MAWILI YAGONGANA MBEYA YASABABISHA AJALI

Na Mwandishi wetu.

Mabasi mawili ya kampuni ya Kapricon Express na Premier Line, yamegongana uso kwa uso eneo la Sae jijini Mbeya majira ya saa 12 asubuhi na kusababisha ajali.

Idadi ya watu waliopoteza maisha na majeruhi wa ajali hiyo bado haijajulikana mara moja huku vikosi vya askari wa usalama barabarani na Jeshi la Zima moto na Uokoaji, tayari wamefika eneo la tukio na kusimamia zoezi la kuwaokoa majeruhi pamoja na kuyanasua magari hayo.

#NTTUpdates