×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

KILA LA KHERI TAIFA STARS

Na Mwandishi wetu.

Dakika chache zimesalia kushuhudia mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Timu ya Taifa ya Niger wa hatua ya makundi kufuzu kombe la Dunia la mwaka 2026 katika dimba la New Amaan Complex Visiwani Zanzibar majiraya saa 10:00 Jioni.

Taifa Stars iliyopo nafasi ya pili kwenye Kundi E wakiwa na alama 10 watalazimika kupata ushindi kwenye michezo miwili iliyosalia ili kutafuta nafasi ya kucheza hatua ya mtoano ya kombe la Dunia 2026 ambalo litaandaliwa na mataifa matatu ya Marekani, Mexico na Canada.

Tanfootball

NTTupdates