×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

KESI ISHAKUWA NGUMU HII KWA MADRID

Na Mwandishi wetu.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika kwenye mchezo wa ligi kuu Hispania (La Liga) maarufu kama El Classico, FC Barcelona wanaongoza kwa magoli 4-2 dhidi ya Real Madrid.

Real Madrid ilikuwa ya kwanza kutangulia kupata magoli mawili kupitia kwa mshambuliaji wao K. Mbappe dakika ya 5′ kwa mkwaju wa penati na dakika ya 14′ huku Magoli ya FC Barcelona yamefungwa na E. Garcia dakika ya 19′, Lamine Yamal dakika ya 32′ na Raphinha aliyefunga magoli mawili dakika ya 34′ na 45.

#NTTupdates