Na Mwandishi wetu.
Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devota Minja, ametoa ahadi ya ubwabwa kwa wagonjwa watakaokuwa wanapatiwa matibau hospitalini
“Sisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa anapiga ubwabwa anashushia na dawa.” –
Wagombea wa vyamba mbalimbali vya siasa wameendelea kujinadi kwa Wananchi wakiomba kura huku wakitoa ahadi mbalimbali kwa Wananchi.