×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

DKT. BITEKO AWASILI KWENYE MAADHIMISHO YA MUUNGANO ARUSHA

Na Mwandishi wetu.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amewasili kwenye maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanayofanyika kwenye viwanja vya stendi ya Kilombero Jijini Arusha leo Aprili 26, 2025.

Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni ” Muungano wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu, Shiriki Uchaguzi Mkuu Mwaka 2025″.

#NTTupdates.