
Na Mwandishi wetu.
Wauwaji wa Kusini Namungo FC, imekamilisha dili la kumsajili mlinzi wa kulia raia wa DR Congo Djuma Shaban (31) akiwa mchezaji huru.
Mlinzi huyo wa zamani wa Mabingwa wa kihistoria Young Africans SC alihusishwa kujiunga na matajiri wa chamazi Azam FC lakini dili hilo liliyeyuka jumla.


#NTTupdates