×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

Al HILAL YA SAUDIA YATINGA FAINAL KOMBE LA MFALME

Na Mwandishi wetu.

Klabu ya Al hilal ( blues) ya Saudi Arabia imetinga hatua ya fainal ya kombe la mfalme baada ya ushindi wa magoli 2-1.

Licha ya kadi nyekundu ya SERGE J dakika 43 haikuwatoa mchezon Al-Hilal na kuandika ushindi huo mbele ya Al Ittihad.

Al Ittihad ni miongoni mwa klabu kubwa Saudi Arabia huku ikiwa na wachezaj weng nyota kama Benzema, Romalinho, Ng’olo Kante, Jota na Fabinho lakin walishindwa kupata ushindi mbele ya Al-Hilal.

Magoli ya Al hilal yamefungwa na Michael na Saud huku goli la kufutia machozi la Al Ittihad likifungwa na Hamdallah.

#NTTupdates