Na Mwandishi wetu.
Uongozi wa klabu ya Al Ahly FC ya Misri imefanya maamuzi ya kuwakata mishahara wachezaji wake kwa asilimia 25% (Robo ya Mshahara kwa kila mchezaji) baada ya matokeo ya matokeo mabaya kwenye ligi kuu nchini Misri (Nile pro League).
Al Ahly SC ipo nafasi ya 13 baada ya kucheza michezo 4 wakivuna alama 5 pekee chini ya Kocha wa zamani wa Orlando Pirates Jose Riveiro.
#📷alahly
#NTTupdates